Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sitaki kutoa utabiri.
Lakini nataka nitoe maoni
Naona uwezekano kwamba hali inaweza kuwa kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.
Na kwamba CCM inaweza kupata ushindi mkubwa wa kufanya Rais Samia acheke mpaka augue moyo.
Pale 2020 wote tulishangazwa na matokea ya Uchaguzi. CCM walizia viti vyote, like there was a Beast we were not aware of was helping them.
Na sasa, I wonder if you have noticed,CIA na MI6 wako very active katika nchi ya jirani.
Viongozi wao wanaokwenda huko tena na tena.
Huu ni wakati wa Uchaguzi hapa na hao spy masters wanapokuwa active nchi ya jirani,hii inaweza kuathiri Uchaguzi wetu?