CCM itatawala milele Watanzania Wasiposhtuka

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Watanzania wenzangu tumeshuhudia vyama vya upinzani vikiongozwa kwa matakwa wamiliki wa vyama husika .Mfano halisi ni TLP na UDP.Kutokana na hivyo vyma kuendeshwa kwa matakwa ya mtu binafsi kumekuwepo na ombe la muendelezo wa hivi vyma na haswa pale vioongozi wa hivi vyma wanapokuwa wamechoka shauri ya umri,
Tulikuwa na matumaini ni hiki chama ambacho hakika watanzania walionyesha kukimubali haswa alipojitokeza marehemu Edwward Lowassa .

Kwa mienendo tunayoiyona kwenye hiki chama kuna kila dalili kuwa kilichowakuta ndugu zetu TLP na UDP ndio kitakachofuata hapa CDM haswa baada ya kuondoka kwa mzee Mbowe
 
Kila kitu kina mwisho chini yaJua. Niswala la muda tu.
 
Duh...!.
P
 
Back
Top Bottom