Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti wao rais Magufuli ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho.
Tunategemea tamko la Uongozi wa uwanja na TFF ukizingatia huo sio uwanja wa CCM na umegharimu kodi za watanzania. Tunahitaji tume ya uchunguzi iangalie ni uharibifu kiasi gani ili Chama cha Mapinduzi kilipe fidia.