kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki?
Kwa ukubwa wa chama chenu haipendezi kutegemea dola kuwajibia hoja kwa shuruti ,msikiaibishe chama jibuni hoja kwa ufasaha maana hoja zipo na hazijajibiwa na chama
Kwa ukubwa wa chama chenu haipendezi kutegemea dola kuwajibia hoja kwa shuruti ,msikiaibishe chama jibuni hoja kwa ufasaha maana hoja zipo na hazijajibiwa na chama