kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Watakimbizia hoja kwenye vyombo vya dola hadi lini?na nina amini vyombo vya dola vimechoka kutumika ila ndio hivyo vitafanyaje kulinda ugaliForm 4 leaver
Na round hii wenye akili wote wanataka kukaa pembeni wanawaachia machawa na waroho wa madaraka kupambana na hoja🤣😂🤣Watakimbizia hoja kwenye vyombo vya dola hadi lini?na nina amini vyombo vya dola vimechoka kutumika ila ndio hivyo vitafanyaje kulinda ugali
Wamebaki popo CCM.Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki?
Kwa ukubwa wa chama chenu haipendezi kutegemea dola kuwajibia hoja kwa shuruti ,msikiaibishe chama jibuni hoja kwa ufasaha maana hoja zipo na hazijajibiwa na chama
Mwenyekiti wa chama kuwa rais ndipo hapo panapo leta mtihani mzito maana vita vya kichama vinashughulikiwa kiserikaliCCM ile ni dola, na ndiyo maana ndani ya CCM ukinyolewa unainamisha kichwa kama kondoo - mfano yaliyomkuta Spika mbabe akakutana na wababe wenzake - kwishaaa!!