CCM jikiteni: Kupunguza rushwa na Katiba

CCM jikiteni: Kupunguza rushwa na Katiba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mimi nashauri CCM badala ya kupoteza muda kusifia kinafiki mngetumia muda kwenye vitu viwili

1. Rushwa ambayo inarudi kwa kasi
2. Muwe na mapendekezo yenu kwenye katiba badala ya kutumia muda na nguvu kuzuia mchakato.

Kwenye katiba tumieni mijadala na ipinzani kujadili mambo ambayo hamkubaliani na ambayo mnakubaliana kwa manufaa ya muda. Katiba haiwezi kuepukika ni bora mtumie muda huu vizuri.

Lakini rushwa imerudi kwa kasi na wana CCM tumieni muda wenu huu kupiga kelele hizo maana wananchi wanaona wazi kuongezeka kwa rushwa na hamtaweza kusingizia upinzani




 
SERA YA CHAMA CHAO INASEMA
1.RUSHWA ni RAFIKI wa HAKI nitatoa au Kupokea Rushwa kupata HAKI ktk CHAGUZI zote ndani ya Chama au nje ya Chama .
 
Back
Top Bottom