Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda.
Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo.
Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au television wanatangaza vifo vyao. Ila vifo ni vingi sana
CCM huku mkijuvunia kutoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania vijana (bodaboda) msiache kuachia mkeka wa vifo vyao.
Vifo ni vingi , sio Dar tu hata nje ya Dar es salaam vijana wanakufa