CCM Kalenga Yanunuliwa

CCM Kalenga Yanunuliwa

IMP

New Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
4
Reaction score
3
Huwel.jpeg

Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia uwezo wao wa kifedha.

Jimbo hilo ambalo mpaka sasa lina jumlq ya watia nia 70, limejikuta katika hali ya kusikitisha na kutia mawazo huku likishuhudia wajumbe wake wa mkutano mkuu zaidi ya 600 wakizinadi kura zao kwa bei huku wakitaraji mtia nia mwenye pesa zaidi na uwezo kuzinunua.

Mmoja wa watia nia katika jimbo la Kalenga, ndugu Ahmed Huwel amekuwa ndio kinara wa mchezo huo, akihatarisha kabisa uimara wa Chama na umakini wake katika kusimamia Demokrasia ndani na nje ya Chama. Tangu aliotangaza nia, Huw amekuwa akipita maeneo mbalimbai jimboni na kuwasilianq na wajumbe huku akinunua kura zao kwa kuwapatia pesa taslimu shilingi laki moja kila mmoja, na kutoa ahadi kwamba zitatolewa pesa zaidi mara ambapo atakuwa ameteuliwa kuliwakilisha jimbo la Kalenga. Wakati hayo yote yakiendelea TAKUKURU Iringa wameonekana kuwa mabubu na kufumbia macho vitendo hivyo vinavyofanika waziwazi na bila kificho.

Kinachohatarisha sana katika hili jambo zima ni ukaribu alionao Bwana Huwel na mshiriki wake wa kibiashara na siasa Ndugu Benard Membe ambaye hivi karibuni alifukuzwa kutoka Chama cha Mapinduzi na kuamua kuhami ACT Wazalendo na kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo. Huwel ameonekana mara kwa mara akiwa na Zitto Kabwe na Bwana Membe katika vikao vyao vya kimkakati na vingi kati ya vikao hivyo vimekuwa vikifanyika katika ofisi za mtia nia wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi ndugu Ahmed Huwel.
 
Hiyo picha hapo juu inafikirisha sana.
Jinsi walivyokaa kwa kufanana mpaka nguo.
Na picha za ukutani zinasisitiza jambo flani kwa mbobezi.
 
View attachment 1511614Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia uwezo wao wa kifedha.

Jimbo hilo ambalo mpaka sasa lina jumlq ya watia nia 70, limejikuta katika hali ya kusikitisha na kutia mawazo huku likishuhudia wajumbe wake wa mkutano mkuu zaidi ya 600 wakizinadi kura zao kwa bei huku wakitaraji mtia nia mwenye pesa zaidi na uwezo kuzinunua.

Mmoja wa watia nia katika jimbo la Kalenga, ndugu Ahmed Huwel amekuwa ndio kinara wa mchezo huo, akihatarisha kabisa uimara wa Chama na umakini wake katika kusimamia Demokrasia ndani na nje ya Chama. Tangu aliotangaza nia, Huw amekuwa akipita maeneo mbalimbai jimboni na kuwasilianq na wajumbe huku akinunua kura zao kwa kuwapatia pesa taslimu shilingi laki moja kila mmoja, na kutoa ahadi kwamba zitatolewa pesa zaidi mara ambapo atakuwa ameteuliwa kuliwakilisha jimbo la Kalenga. Wakati hayo yote yakiendelea TAKUKURU Iringa wameonekana kuwa mabubu na kufumbia macho vitendo hivyo vinavyofanika waziwazi na bila kificho.

Kinachohatarisha sana katika hili jambo zima ni ukaribu alionao Bwana Huwel na mshiriki wake wa kibiashara na siasa Ndugu Benard Membe ambaye hivi karibuni alifukuzwa kutoka Chama cha Mapinduzi na kuamua kuhami ACT Wazalendo na kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo. Huwel ameonekana mara kwa mara akiwa na Zitto Kabwe na Bwana Membe katika vikao vyao vya kimkakati na vingi kati ya vikao hivyo vimekuwa vikifanyika katika ofisi za mtia nia wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi ndugu Ahmed Huwel.

Huyu umemuonea tu, taarifa za huko zinaonesha watoa rushwa wakubwa ni Kiswaga na Mavika

Wagombea Hawa wamewawekea bill za nyama baadhi ya wapiga kura huko vijini.

Hata hivo pambaneni acheni kuchafuana. Mkoa masikini maneno mengi
 
Kipindi Cha mavuno hao 70 Kama ishirini wakatoa Kama huyo mjumbe ataondoka na 2m hii Safi lkn wa kuchaguliwa Ni mmoja tu wajue hilo
 
Huyu umemuonea tu, taarifa za huko zinaonesha watoa rushwa wakubwa ni Kiswaga na Mavika

Wagombea Hawa wamewawekea bill za nyama baadhi ya wapiga kura huko vijini.

Hata hivo pambaneni acheni kuchafuana. Mkoa masikini maneno mengi
Siyo Kalenga.
Nashauri ubadilishe heading iwe CCM SAME MAGHARIBI Yanunuliwa.
Mbunge anayemaliza muda wake Ndg Mathayo David, amegawa fedha kwa mawakala wake na sasa wanazigawa hadharani.
Haijajulikana kwa nini TAKUKURU na chama chenyewe kimenyamazia hali hii, wenye macho tunasubiri kuona kama fedha zitaendelea kununua madaraka hasa ktk awamu ya tano ya mh JPM yenye serikali na Chama tendaji chenye kuchukia RUSHWA.
 
Mataga yameanza kubutuana yenyewe kwa yenyewe.Na bado.
 
View attachment 1511614

Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia uwezo wao wa kifedha.

Jimbo hilo ambalo mpaka sasa lina jumlq ya watia nia 70, limejikuta katika hali ya kusikitisha na kutia mawazo huku likishuhudia wajumbe wake wa mkutano mkuu zaidi ya 600 wakizinadi kura zao kwa bei huku wakitaraji mtia nia mwenye pesa zaidi na uwezo kuzinunua.

Mmoja wa watia nia katika jimbo la Kalenga, ndugu Ahmed Huwel amekuwa ndio kinara wa mchezo huo, akihatarisha kabisa uimara wa Chama na umakini wake katika kusimamia Demokrasia ndani na nje ya Chama. Tangu aliotangaza nia, Huw amekuwa akipita maeneo mbalimbai jimboni na kuwasilianq na wajumbe huku akinunua kura zao kwa kuwapatia pesa taslimu shilingi laki moja kila mmoja, na kutoa ahadi kwamba zitatolewa pesa zaidi mara ambapo atakuwa ameteuliwa kuliwakilisha jimbo la Kalenga. Wakati hayo yote yakiendelea TAKUKURU Iringa wameonekana kuwa mabubu na kufumbia macho vitendo hivyo vinavyofanika waziwazi na bila kificho.

Kinachohatarisha sana katika hili jambo zima ni ukaribu alionao Bwana Huwel na mshiriki wake wa kibiashara na siasa Ndugu Benard Membe ambaye hivi karibuni alifukuzwa kutoka Chama cha Mapinduzi na kuamua kuhami ACT Wazalendo na kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo. Huwel ameonekana mara kwa mara akiwa na Zitto Kabwe na Bwana Membe katika vikao vyao vya kimkakati na vingi kati ya vikao hivyo vimekuwa vikifanyika katika ofisi za mtia nia wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi ndugu Ahmed Huwel.
Tafuta Pesar kubwa nawe uhonge mkuu ccm in kundi LA wala rushwa tangu zamani. Anapita aliye honga sana
 
Back
Top Bottom