GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya.
Nipashe.
-----------
Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu Mama anaifanya katika Jimbo ambalo analitaka. Sina shaka na Uwezo wake ila GENTAMYCINE napenda Haki na Usawa kwa Watu wote hata kama sioni haya (aibu) Kujinasibu kabisa hapa kuwa nakipenda Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mimi ni mwana Mapinduzi kweli kweli Kiasili.
Najua kwa huu Uzi nitachukiwa mno na wana CCM Wenzangu hapa, nitatukanwa na hadi Kudhihakiwa ila nitasimama pale pale kuwa hii si Haki na hapa hakuna Usawa wowote ule. Hata kama kweli tunataka kuwa Wabunge kwa Udi na Uvumba ila 'sometimes' basi kidogo tuwe 'tunajishtukia' na tusisahau kuwa Watanzania wa Leo huenda wakawa na Akili kushinda nyie Wagombea Ubunge.