Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu
Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata kuwasogelea huwezi, unasikia unajua mimi ni nani? Tutaona mengi wakati huu.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
===
katibu Mwenyezi wa CCM Mkoa wa Katavi Teonas Kinyonto wakati alipokuwa akiwaombea Kura wagombea wa chama hichi katika kampeni za uchaguzi wa serikali za Mitaa amesema wanawaweka wagombea wenye weledi kwa maslahi mapana ya nchi, akisema CHADEMA na wengine wameshapoteana.
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025