Elections 2010 CCM/ Kihiyo Chegeni Kanusheni na hii……………

Fikra za ezan ni kama hio avatar yake, unafikiri vijiji kama vya sasa na sawa na vile vijiji vya ujamaa vya mwalimu, siku hizi watu wanakula newz, kwani solar kibao, hebu nenda kule umasaini ndio utashangaa, utakuta nyumba ya full suite ina solar na dish kubwa nje na bado mtu ana simu kwani anatumia umeme wa sola kuchaji hio simu, acha ujima wewe.Watanzania sio wadanganyika tena kaka, wanakijiji wamejanjaruka kwa sana tu sasa,wanajua kila kitu kinachoendelea duniani, so usiwa under grade kabisa.Matokeo hayo yana ukweli sana, angalia jisni matumizi ya fedha za umma yanayofanywa na hawa viongozi yalivyo juu.Inawezekana kutoa elimu na afy bureeeeeeeeee ni kujipanga tuu.
 
kwani wangapi waliopiga kura? waliohojiwa watu wenyewe 10. jee hiii ndio kipima tosha? hata ukianglia humu jf utahisi tz nzima ni ya chadema, ukirudi mitaani aaaaaa. ccm, ccm, ccm tu

Dr Kinana, Dr Chegeni and Dr Makamba syndrome!
 
Nadhani sasa umefika wakati uliotarajiwa,watu wamepata uwezo wa kupambanua mambo sio enzi zile mtu anaweza kusema chochote tu watu wanfurahi na kumpigia makofi kiwe kibaya au kizuri.Viongozi wetu wanatakiwa kusoma alama za nyakati na kubadilika kama vipi waachie ngazi.Nasema haya kwa mifano , Mh Jakaya alisema kura za wafanyakazi hazihitaji baadae akajuta kimoyomoyo kwanini alisema na akaanza kuongeza mishahara kuwapoza baadhi.Mheshimiwa mmoja naye kasema mdahalo wa wagombea unaweza kukusanya watu hata wa kariakoo ambao kwa fikra zake cjui wakoje,naye yememkuta.na mwingine anasema mgombea fulani hana uwezo wa kupewa ubunge labda apewe ujumbe wa nyumba kumi,anasahau mti lazima uwe na mizizi ndo unakua la sivyo utakufa,msingi wa chama ni viongozi na wjumbe wa nyumba kumi kumi,
Jamani acheni siasa za maji taka tuchague watu makini.
 
Mawakala wa vyama pinzani wakiwa makini, CCM chali. Na hawa mawakala watashughulikiwa tu kwani wakipewa hivyo vi milioni tutajua tu - kwanza kufukuzwa kwenye chama, pili kushughulikiwa ki-usalama wa taifa (kugongwa na gari lenye namba bandia na kukimbia, kuingiliwa na majambazi na kuuawa, watoto wao kupotea, nyumba kuungua na sababu kuwa vifaa fake vya umeme, kukatwa mapanga njiani na kudhaniwa kuwa hao ni vibaka, kuwekewa sumu kwenye vinywaji, kumwagiwa tindikali, kufa ghafla kwenye gesti baada ya kwenda mkoa mwingine kikazi au kibiashara, gari kuweka chumvi na injini ku-knock, kuchomwa sindano ya sumu hospitali, kubakiwa mke/ kubakwa, na mengine mengi).
 
Na ile hotuba ya kila mwezi kwenye TV uwa mnawalenga akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…