johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani kilimanjaro hakuna watoto wa shule?[emoji2960]Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Du!!Basi Mwanza na Dodoma kuna shule nyingi sana .Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Tuko hapa na mzee Mgaya tunafuatilia mikutano ya kampeni luningani!Mshauri mashuhuri wa ccm mitandaoni...haya mzee baba wamekusikia
Kwa mbinu tu, hamuwezekaniki!Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio...
Mshangae huyo mfipa!Du!!Basi Mwanza na Dodoma kuna shule nyingi sana .
HongereniTuko hapa na mzee Mgaya tunafuatilia mikutano ya kampeni luningani!
Mbege ikitumika vizuri mtajazana tu bwashee!unataka na huko Moshi shule za msingi zifungwe watoto waende kwenye mikitano ya CCM ?
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio...
Ni matusi makubwa sana kuwalinganisha Kilimanjaro na Dodoma. Na Mwanza ni mukaya. Pata glass yako ya maji angalia utoke na mada ipi tena bwashee, hii siyo, hailipi kabisa. [emoji23][emoji23]Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio...
Amina bwashee!Hongereni
Subiri waje Dodoma kwanza bwashee!Nimecheka eti chama kupendwa na wananchi, hapo Kilimanjaro si ndio madiwani walihama kwenda kuunga mkono juhudi, kwenye project haramu ya kina Polepole? Kama wananchi hawajawapenda hiyo miaka mitano, ndio watawapenda kipindi hiki cha miezi miwili kabla ya uchaguzi? Au ndio hayo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani? Huko moshi watu walishaamka zamani, huwezi fananisha na hizo sehemu watu wanalala na mifugo ndani.
Nawafuatilieni kwa karibu sana mjue bwashee!Ni matusi makubwa sana kuwalinganisha Kilimanjaro na Dodoma. Na Mwanza ni mukaya. Pata glass yako ya maji angalia utoke na mada ipi tena bwashee, hii siyo, hailipi kabisa [emoji23][emoji23]