Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,510
- 4,431
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.
Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Naona CCM inataka kujitenga na siasa dhalimu zilizoasisiwa na Marehemu za kuua, kuteka na kupoteza watu.Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.
Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Yaani unavishauri hata vyama vingine viige wizi wa ccm?Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.
Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
Mafisi ni mafisi tuTangu lini mafisi wakabadilika?
View attachment 1769277
kwan nyie mnafanya uchaguzi lini boss?wameanza kufungua leo? watapeli wajinga wajinga. Tangu enzi za Mkapa mnasema haya haya leo hii mnazungumzia madaraja. Tuambie ni lini CCM iliwahi kusema haijafungua?
jibu swali langu. kuhusu swali lako anzisha mada. viongozi wenu hawawafundishi consistency?kwan nyie mnafanya uchaguzi lini boss?
Mjinga ni wewe unayeabudu mlewa konyagi Dj mwenyekiti wa milele unayedhani ipo siku atakutoa kwenye lindi la umasikini ulionaowameanza kufungua leo? watapeli wajinga wajinga. Tangu enzi za Mkapa mnasema haya haya leo hii mnazungumzia madaraja. Tuambie ni lini CCM iliwahi kusema haijafungua?
mimi sio maskini fala wewe,naweza lisha wewe na mumeo mpaka mnakufaMjinga ni wewe unayeabudu mlewa konyagi Dj mwenyekiti wa milele unayedhani ipo siku atakutoa kwenye lindi la umasikini ulionao
jibu swali langu. kuhusu swali lako anzisha mada. viongozi wenu hawawafundishi consistency?
Tafuta pesa uishi maisha mzuri na familia yako wanasiasa hawatakusaidia chochote ni wanafiki sanaMkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama chetu. Napenda kuwapongeza viongozi wateule na wakuchaguliwa na kuahidi kushirikiana nanyi katika uongozi wenu.
Katika nyakati hizi ndio tunauona uimara wa CCM, kwa kauli moja tumempisha mwenyekiti wetu hakika hiki ndio kipindi cha vyama vingine kujifunza kutokana na uongozi wa CCM na ushirikiano ulionao nina imani watapata somo zuri.
kama huna akili ya kuelewa hata mambo madogo upo humu kufanya niniconsistency? vp magu angechaguliwa kua president wa milele are you ready kukubali ni consistency? au ndo ushaiba kinywaji cha mbowe