CCM kimefungua kurasa mpya ya mabadiliko makubwa ndani ya nchi yetu

Huo uimara wa wao kwa wao ni uimara gani? Na wala hayo siyo mapinduzi.
Ukomavu wao ungekuwa kama wangeachia chaguzi ziwe huru na haki.
Wananchi wachague watu wanaowataka. Waache kutumia police kukandamiza upinzani, nk.
Hayo ndo mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…