Ccm kirumba na gola.....!

Ccm kirumba na gola.....!

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
Wadau wa michezo hasa mpira wa miguu wa enzi hizo mkoani mwanza tukiwa na timu ya pamba fc (TP Lindanda). Tukumbushane eneo maarufu la kuangalizia mpira enzi lililopo eneo la mlimani, maarufu enzi hizo kwa jina la GOLANI ambapo wapenzi wa mpira waliweza kukaa juu ya mawe na kuangalia mpira na viredio vyao vya mkononi.
Tukumbushane vitu vilivyokuwa vinatuvutia.
mimi mwenyewe binafsi nakumbuka nilikuwa na "seat" yangu maalumu (JIWE) ambalo hakuna mtu aliyelikalia hata kama siku hiyo sikufika GOLA kuangalia mechi. Je, wewe unakumbuka nini................!!!!!!!!!!!!??????????????
 
Back
Top Bottom