the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 865
- 707
Habari za uzima watanzania,MwenyeziI Mungu atufariji kwa kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na kiongezi wetu mpendwa
Bila kupoteza muda nawaomba viongozi wa CCM kwa ujumla kufatilia nyendo za huyu SHEBILA aliekua diwani wa kata ya KERENGE muhula uliopita lakini pia kufuatilia/wamulike mwenendo mzima wa upigaji kura za maoni kata ya MAKUMBA ambako alikoenda kuomba kura baada ya watu wa KERENGE kumuapizia Kua asijisumbue kuwania nafasi yeyote ya uongozi kwenye kata hiyo kwani hatopata chochote na wamemchoka kwa tabia na mienendo yake
Huyu alichukua bati za shule ya msingi kibaoni na kwenda kuezekea kwenye nyumba yake,huyu alichukua mifuko ya cement iliyotolewa msaada kwa ujenzi wa msikiti na kwenda kuitumia nyumbani kwake,huyu amekua akitembea na wake za watu,huyu amepiga pesa za ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi kibaoni akishirikiana na watendaji wa kata na kijiji na mpaka leo hakuna chumba cha darasa hata kimoja kilichojengwa na kuishia kwenye msingi tu
Huyu ndie aliemsaidia ABDALLAH MAHENGE ambae alikutwa na robota 2 za neti usiku alizokua ametoka kuziiba zahanati ya KERENGE na baada ya kufikishwa polisi ndipo huyo SHEBILA kushirikiana na mkuu wa upelelezi na mkuu wa kituo cha polisi korogwe wakamuondoa bwana ABDALA na mpaka leo hakuna anaejua hatima ya kesi hiyo
Yapo mengi sana machafu aliyoyafanya na kiasi kwamba wananchi wakamuambia kua hata kama wajumbe wangempitisha kwenye kura za maoni lakini kamwe hawatomchagua na hawatompa dhamana yeyote ya uongozi kwenye kata hiyo,ndipo alipoamua kwenda kata ya jirani kata ya MAKUMBA ambako huko alihonga wajumbe wazi wazi na kushinda kwenye kura hizo za maoni
Yapo mengi maovu/mabaya anayoyafanya SHEBILA ila kwa uchache ni hayo na mazuri anayoyafanya yeye ni kumsaidia mtu anapokua ana makosa ametenda na kufikishwa polisi then atafanya connection na maafisa polisi na upelezi kisha watatengeza pesa na wahalifu wanaachiwa,anawasaidia wezi,bodaboda wasiofata utaratibu wanapokamatwa na polisi na dili nyingine nyingi tena za hatari
Kwa ufupi mwanaCCM huyu ni hatari kwa afya ya nchi yetu
MAENDELEO HAYANA CHAMA
wasalaaam