Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 683
- 1,581
CHadema waliposhiriki 2020 nini kilibadilika ?Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea....
Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!?
Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga kwenye mshono....
Raha ni kwamba serikali hii ijayo itakosa uhalali wa halali kabisa kutoka kwa wenye nchi hii na pia uhalali wa wazi kutoka jumuiya ya kimataifa....
Mjiandae kwa misaada kusitishwa pia mjiandae na tozo na kodi mpaka za kichwa kudayafa mpaka wote mtaenda barabarani siku moja
Nimemaliza.
Mtayashika ila hakuna atayesalia madarakani milele...hiyo 2030 hamtafika wengi wenuDhumuni la ccm ni kuendelea kushika madaraka 2025-2030.
Naona tozo ya baiskeli na Kodi ya kichwa ikirudi!Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea....
Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!?
Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga kwenye mshono....
Raha ni kwamba serikali hii ijayo itakosa uhalali wa halali kabisa kutoka kwa wenye nchi hii na pia uhalali wa wazi kutoka jumuiya ya kimataifa....
Mjiandae kwa misaada kusitishwa pia mjiandae na tozo na kodi mpaka za kichwa kudayafa mpaka wote mtaenda barabarani siku moja
Nimemaliza.
Walipokwa ushindi,kukawa na Bunge la yesaa!CHadema waliposhiriki 2020 nini kilibadilika ?
Yes sir!Walipokwa ushindi,kukawa na Bunge la yesaa!
Kinyeo chako kilibadirika kutoka kua na marinda mpaka rinda kutatukaCHadema waliposhiriki 2020 nini kilibadilika ?
Viongozi, wanachama na raia wapenzi na wapiga kura kwa ccm wengi walishakuwepo na sasa hawapo ila wameiacha ccm madarakani ikiendelea kuaminiwa kuongoza.Mtayashika ila hakuna atayesalia madarakani milele...hiyo 2030 hamtafika wengi wenu
We mwizi nenda kamjibu polepole wenu kama ccm inakubalika weka katiba mpya hapa weka tume huru pale weka mpira kati kisha isahau ccm milele, na nakuhakikishia Mungu kaniambia nitaishi na nitaona ccm ikiondoka madarakani na siku hiyo nitafanya sherehe kwa mwezi mmojaViongozi, wanachama na raia wapenzi na wapiga kura kwa ccm wengi walishakuwepo na sasa hawapo ila wameiacha ccm madarakani ikiendelea kuaminiwa kuongoza.
Kila la heri. Chama kitaendelea kunadi sera ili kiendelee kukuongoza kwa awamu nyingine.We mwizi nenda kamjibu polepole wenu kama ccm inakubalika weka katiba mpya hapa weka tume huru pale weka mpira kati kisha isahau ccm milele, na nakuhakikishia Mungu kaniambia nitaishi na nitaona ccm ikiondoka madarakani na siku hiyo nitafanya sherehe kwa mwezi mmoja
Pole sana. Waliweza kukushona ?Kinyeo chako kilibadirika kutoka kua na marinda mpaka rinda kutatuka
Tuishi humoWalipokwa ushindi,kukawa na Bunge la yesaa!