johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Watajuana wenyeweCCM imesema itawafyekelea mbali wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya barakoa, sabuni na vitakasa mikono wans nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Waanze na mwenyekiti waoCCM imesema itawafyekelea mbali wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya barakoa, sabuni na vitakasa mikono wans nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
CCM inayo uhakika itakuwepo post kolona? Inawezekana Kolona ikafyeka kabla haijafyeka.CCM imesema itawafyekelea mbali wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya barakoa, sabuni na vitakasa mikono wans nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Wakili maarufu tayali...Siku hizi vipi hauendi kwa mzee Mgaya?CCM imesema itawafyekelea mbali wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya barakoa, sabuni na vitakasa mikono wans nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Waliwahi kufananisha COVID-19 na wapinzani, hapo ndipo walipopoteza mwelekeo na hadi leo hawajielewi.Yaani tupo kwenye janga wao wanafikiria uchaguzi. Wakati ndyo wanaokufa kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakati wa kupumzisha hili genge tumechoka sana jamani.CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai