Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa;
1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa kipigo cha mbwa koko, halafu waje kusema wapinzani walileta vurugu wakati wameshindwa zoezi limeenda kwa haki
2. Mawakala wameshashikwa mkono ni mwendo wa kugeuka pembeni tu na kuuza mechi
3. Mabox yashawekwa ni place na kura za ushindi hivyo wamerelax wanasubiri kutangazwa tu.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huku kurelax huku hakutoi picha nzuri, wapinzani mmejipanga? Shida yenu huwa hamna plan B, ni mwendo wa kulalamika tu!
Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho.
PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi: Tusiwape nafasi wanaotaka kuvuruga amani ya Uchaguzi wa kesho Novemba 27, 2024