Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Nimefuatilia kwa karibu viongoi wa juu wa CCm, kinachotokea naamini ni kiwewe cha kusimamia mila na desturi potofu ahata kama haikidhi haja, ila tu kwakuwa ni mila yenu na ndio kitambulisho chenu mnabaki kunga'ngania.
Leo Kingunge kaongea, nimecheka sana nilitarajia angalau angetueleza kwanini Serikali Mbili ni muhimu zina faida gani na madhara gani iwapo tutaacha serikali mbili, badala yake anaonekana kuweweseka kama walivyo vengi wa wale wanaolinda identify na sio facts!
Ninaamini binafsi kivuli cha UCHADEMA NA USISIEMU ndio kinahcotawala na hapa hawajali maslahi ya Taifa!
Historia nzuri ni ile ya Kubadili Katiba na kuanzisha vyama vingi! Hali ya upepo ndani ya CCM ilikuwa hivihivi kushabikia-shabikia bila kuwa na hoja ya msingi na walipinga sana vyama vingi! Cha ajabu hoja ya vyama vingi ikapita mwishoni!
Nitacheka sana na itakuwa burudani yangu ya pekee pale nitakaposhuhudia Katiba moya ya serikali tatu ikipita kwa kishindo.
Siamini kitendo wanachokifanya na ujinga uliopo kwa baadhi ya viongozi wa CCM ni kuwa kesho Mwenyekiti akisimama na kuamua tuta-fuata serikali tatu, basi watajenga hoja nyingine za ki-puuzi-puuzi hivihivi ilimradi tu kufukia aibu ya kumpinga Mwenye kiti wao kwa kukubali kuweka hadharani Rasimu ya Serikali tatu. Na hatimae Serikali tatu ikapita.
Viongzi wa CCM leteni hoja nyingine sio ya serikali tatu Watanzania wameendelea sio walewale wa siku zote, epukeni kunasa kwa CHADEMA, hoja ya serikali tatu ni kunasa kwenye mitego ya CHADEMA na ishara ya wazi ya kuogopa kivuli chenu wenyewe. Kuna mambo ya MSingi mmeyataja na hayo tu mngeweza kupinga na kusimama kidete na mkaonekana mna hoja!