johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM sasa inapaswa kuwa makini.Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.
Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo.
Maendeleo hayana vyama!
Chama kinarudishwaje kwa wananchi?au umemaanisha nini,maana hata unaowaona ni wananchi piaCCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdoga.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Sasa hivi hakuna tofauti kati ya CCM na idara yoyote y Serikali.Chama kinarudishwaje kwa wananchi?au umemaanisha nini,maana hata unaowaona ni wananchi pia
Ushauri wangu, wazee wa chama mfano, JK, Mwinyi,karume, lowassa, na wengine kwenda kwenye mkutano huu ni risk kubwa kwao. Tanzania kuna corona na unaenda kwà speed kubwa.Kuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona
Waende tuu si fedha za chamaKuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona
Samia kaingia “kumalizia” muda uliobaki wa awamu ya tano. Apewe tu uenyekiti automatically kumaliza muda wa uenyekiti wa chama as well bila kuwapotezea muda watu
Polepole anaweza kuwa makamu wa rais maana ni kijana ni rahisi hata kumtuma pili ..ana uwezo mkubwa wa kusimamia mamboCCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdogo.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Kofia mbili
..itakuwa jambo jema mkutano mkuu ufanyike chato.