Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Aug 30, 2024 #1 Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM
Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Aug 30, 2024 #2 Asante CCM said: Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM Click to expand... Kikosi cha watekaji wanaenda kuweka list ya watu wengine wa kutekwa.
Asante CCM said: Kamati kuu ya CCM inatarijia kukutana tarehe 02/09/2024 huku pamoja na mambo mengine huenda Makamo Mwenyekiti wa CCM atajulikana baada ya Vikao hivyo. Chanzo: CCM Click to expand... Kikosi cha watekaji wanaenda kuweka list ya watu wengine wa kutekwa.
W Wakabambee58 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2020 Posts 1,302 Reaction score 1,939 Aug 30, 2024 #3 Makamu professa Mwandosya
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 30, 2024 #4 Mabumunda Yanakutana