CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Akiusikiliza na Kuufuata huu Ushauri wako atakuwa ni Mmoja wa Mbunge Mpumbavu kuwahi kutokea katika Historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kwenu publicity matter a lot lakini kwa Me, kitanda ndicho mwisho wa lami. Ulishasikia msemo kuwa ‘mwanaume roho yake hailali anapolaza kiwiliwili chake bali hulala inapolala k anayoipenda sana’ . Hivyo tulivyo tofauti kimaumbile hata kimtizamo. Mchepuko unaonipenda kwa dhati ni wa maana kuliko mwanamke wangu wa ndoa ya kikatoliki asiyenithamini.
 
... why not? Msiba hauna kadi.
Ndio mkuu msiba hauna kadi......lakini kwa mazingira yaliyopo kwenye msiba huu ni dhahiri kuwa uwepo wa Magige kwenye huo msiba ni kutafuta shari.......

Wewe unaweza kuhudhuria msiba wa mwanaume mwenzako ambaye umekuwa ukitembea na mkewe huku akiwa anajua......??
 
Akiusikiliza na Kuufuata huu Ushauri wako atakuwa ni Mmoja wa Mbunge Mpumbavu kuwahi kutokea katika Historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwani kwa sasa hakuna wabunge wapumbavu bungeni.....??
 
Kama akina Mh. Catherine Magige walikwenda mazishini "KAMA CCM" basi nami naunga mkono wachukuliwe hatua kali na CCM. Lakini kama alikwenda "KAMA MCHUMBA ALIYECHANGANYIKIWA" basi naomba apewe ushauri nasaha na watu wenye uweledi na mambo hayo kama Dr. Chris Mauki na Mch. Mugogo!!!
 
... naweza Mkuu; si anakuwa amekufa tayari?
 
Ww mama upo?
 
Aweee[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] i love u sister sister
You are blessed. Mimi niko kimawazo kama wewe. Naogopa sana kumuumiza mwanamke mwenzangu hasa kuingilia mji wake. Na hasa sheria za ndoa. Huu msalaba ni mzito sana kuubeba. Kamwe huwezi kuwa na amani. Hongera sana na ubarikiwe sana sana sana.
 
Hivi unajua Catherine Ruge na Catherine Magige ni watu wawili quite different we mlevi wa chimpumu!?
Nimesharekebisha jina. Mengine niliyosema yanabaki vilevile kwa sababu ni sahihi.
 
Kama hujui unachokiandika muwe mnakaa Kimya
Catherine Ruge na Catherine Magige ni watu wawili tofauti.
Catherine Ruge ni katibu mkuu BAVICHA

Catherine Magige ni mbunge viti maalum CCM-Arusha, among the most prostitute in Arusha.
yani ana mlolongo wa wanaume huyo mkerewe tukutaja humu mtakimbiana.
 
Ningeweza kulike hii hata mara 10.Comment of the Day [emoji1666][emoji1666]
Kweli kabisa Mkuu. Tatizo kubwa ninalo liona ni kuwa wanawake wengi wa mjini hawataki kutengeneza wanaume zao wanao watakao wawe. Wao Wana taka mwanaume 'ready made and successfull'. Wengi wa type hiyo kiukweli they are already taken. Hapa ndiyo shida inaanzia. Hawataki mwanaume wa kuanza naye from the scratch.
 

Kutoka JF 2012

Wasifu wa ndani Mh. Catherine Magige na nia yake ya 2015​


Inasemekana hata hili jina analotumia sio lake....
Alinunua cheti cha Form IV kwa mwenye jina hilo ambaye ana udugu naye, yeye hakumaliza baada ya kutundikwa mimba na wajanja akiwa shuleni!
Inasemekana alipata chance hiyo kutokana na kuwa mke mdogo wa Waziri!
Kwa hiyo mhe. Waziri alimua kwenda bungeni akiwa na mke mdogo, akafanya mpango akafanikiwa.

 
Nimerekebisha technicality unayoishupalia kuhusu jina.

Mengine huna hoja ambayo ni substantive.

Hawa ndio Think Tank wa CCM wanaosumbua humu JF kwa kutetea mautumbo.....Yaani anasema CPA Ruge ndio Catherine 132Kv.
 
Kanichekesha huyu,nilidhani anatuletea facts,kumbe ni hadithi za kusoma na Marehemu Ilboru [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan takataka. UVCCM huyo atakua. Anachosha tu. Eti walichanga mamilioni[emoji23][emoji23][emoji119] pooh mbaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…