CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Sawa Mr.kolola nimekusoma
Nataman kuendelea ila bando limekata,uchumi wa kati wengine hatujafika bado😄
 
Mimi kwa maoni yangu hili ni jambo binafsi sana, unamzuiaje mtu kuweka shada la maua kwenye kaburi? afu uhalisia ni kuwa huyo mume alikuwa katika harakati za kimahakama kuivunja ndoa.all in all ndugu yangu Shaka angejikita zaidi kwenye ajenda za kitaifa, huko tunaskia hela zinapigwa tu mawizarani,mpaka Rais au waziri mkuu ndio avumbue hayo maovu,wakati kuna mawaziri,maPS, wakurugenzi na watendaji kibao.hili ninaona ndio la kuvalia njuga ,muda ni mfupi sana na matatizo ya wananchi bado ni mengi sana,hivyo chama kiisimamie serikali yake kwelikweli hasa katika uwajibikaji na utekelezaji wa ilani ili kupunguza adha wa wananchi.
nawasilisha
 
Katika ndoa ya kikatoliki hiyo sheria ya kusema malaya, kimada, kahaba inamtambua katika kipengele kipi? Yaan anagrieve wapi? Kimpango gani? Kahaba naye ana haki ya kuomboleza?[emoji23][emoji23] come on. Yaan hata angelala naye miaka 10 hata 100 bado ni kahaba as long ad marehem bado hakumtaliki mkewe ndoa. Kwanza katoliki hatuvunji ndoa tunaita kutengana. Msiba wa babu yangu yule mwanamke aliyezaa naye kabla ya ibada aliutwa mbele akaulizwa unafanya nini hapa mbele? Uko kama nani hapa? Unakaaje hapa kwenye sehem ya familia? Hana majibu. Akaambiwa hukupaswa kuwa hapa. Nyanyuka mara moja. Na usionekane hapa. Na kama ndivyo kakae nyuma kabisa kama waombolezaji wengine. Na bado baada ya msiba aliendelea kuitwa patokiani. Kila mtu afate sheria za imani yake. Hutaki kaa pembeni
 
Ule wa mengi si ulikua kisheria pia? Na si walikua wamechuma na mke? Kama unadhan ni rahisi hivyo hayaa[emoji23][emoji23] kajaribh tu. Zaidi uwatese wanao kisaikolojia. Labda kwa mwanamje mjinga mjinga
 
Nimrshabadilisha contents japo siwezi kubadilisha headline.
Hao nilio wa TAG ndio jukumu lao !
Siku nyingine na ww fanya kwanza utafiti ndio uandike sio kukurupuka tu. UTAFUPEWA KESI ZA MADAI
 
Nakuunga mkono, tuache kuwanyanyasa hao wanaotuhifadhi wake zetu wakitutesa. Magige nimemheshimu sana alikuwa na Upendo wa kweli. Kitendo cha kutupa ua kilionesha huyo mwanamke ni jeuri na hakuwa anampenda Marehemu
Upendo wa kweli akaenda kufumaniwa na bwana mwiningine mpaka marehemu apate heart attack?
 
Tena nasema yule aziza ni mstaarab sana nampa heko,yule magige angekutana na kichwa kilicho resi hata hilo shada asingeweka
Pumbavu zake kabisa,eti kisa mbunge!napata picha ndo ningekua mimi mbona show angeifurahia huyo mbunge
Yaan ningenpasuaaaaaaaaa.... na maua yaleee. Sema mpasue ila damu zake zisikurukieee. Matatizo mapya hayo[emoji23]
 
Wewe una mke.....??
... tena mzuri kweli kweli! Rejea post yako niliyo-quote; unauliza kama ninaweza kuhudhuria msiba wa mwanaume ambaye nilikuwa natembea na mkewe huku huyo mumewe (marehemu kwa sasa) akiwa anajua? Jibu langu ni huyo mwanaume kwa sasa si marehemu? Nitahudhuria.

NOTE: this is for illustration purposes only; siwezi kutembea na mke wa mtu.
 
Wanamchukulia hatua kwani alienda pale kuiwakilisha CCM?

Mimi nilidhani jeshi la polisi ndio lingedeal naye kwa kosa la 'trespassing'
Yes. Polisi walikua watu w akwanza kudeal naye.

Pili, chama kinapaswa kumchukulia maadili kwakua kuna misingi na kanuni za kuyaishi anayopaswa kuishi kama mwanachama wa chama cha mapinduzi na mbunge anayewakilisha wanamama na watoto bungeni kwa kutunga na kutetea sheria zao. Yeye anayaishi?
 
Mwaaah[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Afadhali maana katika hali kama ile, familia ya Marehemu ilitakiwa kutake charge si mke ambaye kila mtu alijua hakuwa anaishi na Marehemu!
Wewe ndo hujaelewa[emoji23][emoji23] anasema katarina alishanyooshwa zamani za kale kulekule kaburini mbali na kushangilia kwamba ameshinda vita. Ama hujaona clip? Yeye na mashankupe menzake wanasema wameshinda. Kulikua na vita? Awajibishwe.
 
Yes you are very RIGHT MBUNGE NI KIOO CHA JAMII. na kwa mujibu wa mila desturi na maadili ya JAMII YA WATANZANIA MKE ZAIDI YA MMOJA NI RUKSA!!! Na msibani hazuiwi mtu kuingia.
 
Mfumo zinaa upo kweli. Unahalalishaje 'ke na 'me waishio pamoja kwa miezi 6 au zaidi kuwa ni mke na mume!? Yaani hata kama mimi nina mke halali, kwa ndoa halali ya Kikristo,nikaishi na mwanamke mwingine kwa muda wa miezi 6 au zaidi,eti huyo "automatically" anakuwa mke wangu!!! Inakuwajee niwe na wake wawili!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…