Tetesi: CCM kumtema Dr. Magufuli 2020 katika kinyang'anyiro cha urais?

tulia wewe.Magufuli Ndie Raisi Wako Mpaka 2025.Na Mwenyekiti Wako Mpaka 2026!

Mkuu hata akikaa mpaka 2040, viwanda viko wapi? Umeme utaendelea kupanda hivihivi? Mkuu sifa kwako ni yy kuendelea kuwa madarakani na sio ubora wa maisha yetu?
 
CCM haiko hivyo, hayo ni mawazo yako potofu na pia umekosa cha kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…