Elections 2015 CCM kumtumia Dr. Shika kwenye kampeni ni aibu kubwa!

Elections 2015 CCM kumtumia Dr. Shika kwenye kampeni ni aibu kubwa!

Malata Junior

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
3,104
Reaction score
2,550
D4959C56-7C0F-4E77-92AD-AEF70FB1F4CD.jpeg

Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.

Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa Segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa CCM ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na mahusiano na mafisadi na matapeli wa nchi hii mpaka kufikia kuwatumia kuwanadi wagombea wake!

Shame on you CCM!
 
Katika kata43 za uchaguzi hakawii kusema, "45 itapendeza kwa ccm", kama na waona cdm watakavyo piga mayowe.
 
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa ccm ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na mahusiano na mafisadi na matapeli wa nchi hii mpaka kufikia kuwatumia kuwanadi wagombea wake! Shame on you ccm!
pambana na hali yako acha mbinu halali zitumike.au wewe unaona wamevunja sheria gani ya nchi
 
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa ccm ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na mahusiano na mafisadi na matapeli wa nchi hii mpaka kufikia kuwatumia kuwanadi wagombea wake! Shame on you ccm!
matumbo joto yan cdm hamlambi hata kata moja
 
Chama kimeishiwa sera sasa kimeanza kutumia matapeli kuomba kura.
 
Yote kwa yote mzee wetu Dr shika naye alepo kidogo jamani.
(MZEE kabla ya kupanda jukwaani hakikisha wamekujaza minoti ni wakati wako umetumia Akili nyingi kufikia hapo).
 
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa ccm ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na mahusiano na mafisadi na matapeli wa nchi hii mpaka kufikia kuwatumia kuwanadi wagombea wake! Shame on you ccm!
Kuna mafisadi na majizi mangapi yako upande wa pili yanafanya kampeni za udiwani,au hayo huyaoni unayaona ya dr shika tu?
 
Dr shika sio mwenzio.
Mutu mukubwa hyo
Kumsema kuwa ccm sio vizuri. Hayo ni maamuzi yake. Hauwezi jua wamekubaliana nini na CCM. Pia kumuita tapeli sio sahihi.
Mimi nipo ukawa.
Ila nafurahi kumuona DK shika akiwa CCM.
 
Bora utapeli wa Dr. Shika kuliko ule wa Mamvi alioucheza 2015 Mpaka Leo ni Mnec CDM
 
So far Hakuna Mahakama yeyote yenye faili la mashtaka ya Dr. Shika.

Acha wivu wa kitoto. By the way uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno, Fuatilia Global politics kwa ukaribu. Utajifunza kitu.
 
matumbo joto yan cdm hamlambi hata kata moja

Kwa unyama wanaofanyiwa cdm huku serekali ikionyesha kutoa baraka zake, nitashangaa cdm wakipata kaya yoyote. Simply hakuna uchaguzi zaidi ya kuunyesha jinsi gani ccm kwa kushirikiana na serekali wanaweza kimwaga damu kubaki madarakani.

Msiwe na shaka kwani hata Mugabe alikuwa akishinda uchaguzi kwa unyama hivihivi na ikajengwa picha kwamba anakubalika sana. Lakini juzi alivyotolewa madarakani hao waliokuwa wanampa kura hawakuonekana.
 
Back
Top Bottom