CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba?

Hapa mpaka tuchapane kwanza ndio heshima itakuwepo, hii ngonjera ya amani na utulivu ndio inasababisha wanaume wenye mimba kama Tambwe Hiza badala ya kwenda kujifunguwa anakuja kuleta porojo, i wanna kill light now.

back to you punk,sorry but i gotta tell you,you are a lunatic who spread HATE,LIES AND MISINFORMATION ,you are disgrace to jf they oughta put you where the sun doesnt shine.
You disgusting man .sorry but its is the truth
 
:disapointed:ccm walimtuma Tambwe Hiza kama kuzuga tu maana wanajua wanachotaka kukifanya katika katiba, hivyo hawakuwa na sababu ya kumtuma mtu makini.
 
back to you punk,sorry but i gotta tell you,you are a lunatic who spread HATE,LIES AND MISINFORMATION ,you are disgrace to jf they oughta put you where the sun doesnt shine.
You disgusting man .sorry but its is the truth


Posted via Mobile
 
Ili tupate katiba nzuri yenye kukidhi matakwa ya watanzania walio wengi lazima tuwe tayari kutwangana maana ccm wanataka kutuburuza watuandikie katiba yenye kukidhi matakwa yao. Wapuuzi kweli hawa.
 
Kwa ujinga na uhuni unaonyeshwa na wanaojiita Wanavyuo sahauni kama kuna majadiliano tena Maana nyie wahuni mliaambiwa kuwa hilo ni kongamano! Kwanini kwanza mlazimishe kuingia kwenye ukumbi wenye kuchukuwa watu mia tatu mnataka kuingia 1000! Shame on you guys, itakula kwenu na wahadhiri wenu wanaowapandikiza mbegu ya chuki hivi leo serikali ivifungilie mbali hivyo vyuo mtasomea wapi CCBRT au Mbowe Club Billcanas? Kuwe wastaarabu nyie Chokora watu wajadili hili la katiba Kama kutawaliwa mtatawaliwa tu hilo halina ubishi sasa kama mnaweza njo tena Karimjee na ushamba wenu wa kutoka mikoani mlete za kujuwa au huko Dodoma safari hii hamtasahau hiyo Kubwa mtakayopewa mnatukera na uchochezi wenu wa kupandikizwa
 

wewe ni nani hata utoe povu lote hilo?
 
Unayajua hayu mawazo aliyoyasema Tambwe au unakurupuka tu? Hebu edit hizo red items ili tuelewe wewe ndio sio KILAZA

Mkuu naomba unijuze huyo jamaa (TAMBWE HIZZA) alitoa mawazo gani? manake namfahamu huyo jamaa alikuwa mropokaji sana alivyokuwa CUF aliwahi kusema yeye hawezi kushindwa na Mvuja Damu lakini hatima yake yule mama mama Khadija Kusaga akamwangusha..
 
Usihamishie uzemmbe wa BUnge na serikali kwa kukosa maono ya kuandaa eneo linastahili kwa ajili ya kukusanya maoni kwa wanafunzi na wahadhiri ambao ni watanzania wanahitaji kutoa maoni yao kama katiba inavyosema,kwamba kila mtu anauhuru wakutoa mawazo ili mradi havunji sheria,walio vunja sheria ni serikali haikuandaa mazingira stahiki.
Enzi hizi hakuna mtanzania yeyot atakaye kubali kukandamizwa na vyombo vya dola tafakari kwanza
 

Bgup ,you said it.hawa machokoraa wamekua brainwashed and manipulated to the point of nausea.mfano jana kabla hiza hajaongea wanazomea ilikua imepangwa,wanatumika kama robot programmed to creat disturbance.as far as am concern THEY CAN GO TO HELL.
Leo kibao kimegeuka wanapiga kelele SHUTUP
 

Hivi huelewei kweli kwanini serious people hawatumwi na CCM? How can you seriously discuss nonsense you also need to bring yourself into that level to be able to arugue . Kwahiyo naamini kila anayekuwa approached mwenye morals na akili zake hawezi kubali maana hata meet objective ndiyo maana wanapeleka watu ambao wanaweza ongea chochote bila hofu wala aibu for its within their level of thinking. Huoni Warioba alivyoonekana anapingana na the whole concept sasa ukimpeleka mtu kama yeye unategemea nini kwa upande wa chama kilichoamua kukosa objectivity?
 

Naona ume andaa dictionary yako ya word 'public hearing' kama ndivyo basi luga unayotumia kuongea ni tofauti sana na ya kwetu sisi no wonder kulikua na miss communication jana wakati tumekuja kwa maelfu huku wewe ukiwa umedhamiria watu 300 ambao kwa maneno yako inaonekana munawafahamu ndiyo maana muliweza kuwaandalia sehemu ya kuwatosha!
 
Mimba changa zina babisha matatizo kama hayo....Warioba aliongea na watu wakampigia makofi yeye ni chama gani?
 
Alitumwa kwa sababu ndio mtu pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja na ujasiri,uwezo,akili na utashi wa kuisemea CCM kwa wakati huu , ndio maana alitumwa .
 
Chokora ni binadamu kama binadamu wengine tofauti yao na wewe ni kwamba wewe una mimba ya jasho lao, Tutaendelea kuwa kera mpaka mambo ya msingi myatekeleze na siyo kutuburuza ms wewe, kama ni matisho peleka kwa waume siyo watanzania...UDSM, UDOM siyomali za CCM hivyo ni pumbavu kulinganisha na billcana..Wanaotoka mikoani siyo watanzania...mnatutawala ndiyo lakini kijasho kina watoka...
 

Una pointi njema hapo mzee lakini inapotokea kuwa watu hawa tumewasikiliza kwa miaka 50 na hakuna jipya, uvumilivu unakuwa mdogo na hasa hasa tunapokutana kwenye makongamano kama haya na wakaendelea kuimba nyimbo zile zile ambazo wamekuwa wakituimbia kwa dahari ya miaka!

 
Hivi tuhahitaji ushabiki kwenye siasa au facts?
Baadhi yetu aidha hatutaki kuelewa au tunajaribu kuharibu moody ya wachangiaji. Kumshambulia member mwenzio akaswaki au bla bla zingine nazo ni Utambwe tu. Kuwaita Lectures waliokufundisha vilaza basi na ww ni kilaza tu. Hata kama umesoma nje ya nchi lecture hao ndo walimfundhisha baba ako na mkulu wetu. C'mon pipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…