Njaa mbaya bro, watu wanalinda njia zao kupata maokoto, kwa mfumo wa CCM, inabidi akili uiweke pembeni, kuwa chawa, mnafiki, jipendekeze, jifanye mjinga, duni mbele ya wakubwa zako, (kabudi alisema katolewa jalalani), juzi kinana, na majaliwa, wanapendekeza form za urais CCM, itolewe moja tu ya samia, kinyune cha utaratibu, yote ni kuzuia boss wao apenye kiuraiiiini!.
Ukienda kinyume, na CCM politburo(political establishment), wanaweza hata kukutoa roho!
Mi nimeishakubali, kwa mwendo huu wa CCM, nchi haiwezi kuendelea, at least not in my life time, 60yrs from now!
May be yafanyike mapinduzi,