CCM kuna Yuda au ni homa ya urais

Mauaji ya October 29.. Hizo ni baadhi ya side effects zake
 
Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.

Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura
 
MO29. Ila mo alikuwa mbele sana kutengeneza sabuni akaziita MO29 SISI hatukumuelewa kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…