East Africa Television (EATV) Mgombea mwenza Urais wa CCM Bi. Samia Suluhu ameahidi shilingi milioni 150 kila kata jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kuwezesha wajasiriamali ili kukuza biashara zao kama yeye na Mh Magufuli watachaguliwa na wananchi kuongoza nchi.
Wewe kama mwananchi, nini maoni yako