Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
Mgombea kiti ca uris kwa ticketi ya CCM JK siku ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani baada ya kupata nafuu kwa kile kilichomtokea alirudi jukwaani alizungumza haya tena kwa kujiamini.
Nanukulu:
"Tumetekeleza mambo mengi katika ilani yetu ya uchaguzi ya 2005 na kuna mengine hatukuyatekeleza na tunazo sababu za msingi kutoyatekeleza".
Hapa kwenye red ndo panapo nipa shida.
Ukiyatafakari hayo maneno/kauli unajukuta na maswali lukuki;
Hivi sababu hizi tena za msingi ni zipi hasa?
Watz walimwelewaje kwa kauli kama hii?
Ufafanuzi unahitajika hasa kutoka kwa makada wa CCM(MS,) na wengineo ili tupate pa kuanzia kuwanyenga 31 Oct.