Kwani mnafikiri rais ni JK peke yake! ipo timu kubwa sana na hao waliopo nyuma yake ndo wanafaidi hii nchi zaidi ya jk, yaya ni mtu wa kuandikiwa cheque na wakadiposit mawe yake. na sometimes hata safari anapangiwa tu na wajumbe wa taasisi yake ya urais.
Hivyo hata kama yeye yu radhi kwa kuchoshwa na utendaji mbovu wa jamaa zake, lakini hao jamaa hawatakubali
na ndio maana sasa wanahaha kugawa rushwa kila kona. Juzi usiku nimeukuta mkutano mkuwa wa wanaccm wakipanga mikakati usiku hopefully ndo mida yao ya kugawana fedha.
Hivyo bado hawajakata tamaa na wanapigana hadi tone la mwisho huku wizi ukiendelea, chamsingi tuendelee kuwasihi watu waliokata tamaa,
Bianfsi nakutana nao watu kibao wakisema Hata upigie chama kingine ccm itashinda tu.
au basi tu ndo hiyo amani, lakini ccm tumechoshwa nayo
au nasi wasomi kuogopa foleni
TUWASIHI WAPIGE, NASI TWENDENI, TUWAELIMISHE KUWA, " HATI MILIKI YA AMANI TUNAYO SISI NA SIYO IPO CCM!!!!!!