Evody kamgisha
Member
- Aug 4, 2011
- 97
- 108
kuna baadhi ya watu wanaohama chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakijinadi kuwa wanaunga mkono juhudi za mh Rais kwa kazi anazozifanya .Lundo la watu mbalimbali wengine wakiwa ni viongozi waandamizi ndani ya chama hicho cha upinzani.
Hofu yangu ni kwamba chadema si chadema ya zamani.kwa sasa wamebadili mbinu na mbinu zao ni za kisasa kabis.Mh rais alishasema vyama vya upinzani mbinu zao zimebadilika,nyingine ziko wazi na nyingine ni za siri sana.Hivyo kuna haja ya kuwasoma vyema hawa wapinzani kabla ya kukaa nao meza moja kuwa washirika wetu katika chama.
Wengine wanatumwa na kazi yao kubwa ni kuhamisha siri za chama na kuzipeleka kwao,unashangaa mnakaa kikao cha siri kabisa lakini habari zimeishawafikia unashangaa kulikoni.Kuna mtu anajiita kigogo 2014 anazo habari zote za chama na anaziweka wazi
kuna haja ya kuwachunguza hawa wahamiaji kabla ya kula nao sahani moja.