Tetesi: CCM kuwafikisha Takukuru mafisadi wa mali za chama waliotajwa na Tume ya Dr Bashiru kwenye ripoti yake

Lazima wakanyee debe. Hii ccm ya Makonda siyo ya Mwigulu wa Nape

Mwigulu wa Nape ni yupi huyo?
CCM ya Makonda siyo, bora ungesema CCM ya Magufuli yeye ndiye Mwenyekiti huyo mwingine ni nani?
 
Mwigulu wa Nape ni yupi huyo?
CCM ya Makonda siyo, bora ungesema CCM ya Magufuli yeye ndiye Mwrnyekiti huyo mwingine ni nani?
Magufuli ni mwenyekiti. Makonda ni mouse yake
 
Ni kweli mkuu. Ila Mwalimu Nyerere aliwamudu Marais, eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tetesi..basi tungoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm iache visasi kuna maisha baada ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule aliuzaga nyumba za serikali, juzi kati kaswinda tril 2.4,baada ya kushtukiwa kaona isiwe tabu kamtimua CAG
 
Sasa CCM ndiyo hao hao TAKUKURU,MAHAKAMA,TUME YA UCHAGUZI na kadhalika. Wewe sema wameshawahukumu inatosha mkuu
 
Aisee. You have your ear to the ground. Ni dakika tatu tu zilizopita nilikua na yule mropokaji . Story ni hiyo hiyo. Mhariri wa Uhuru atatafuta picha nzuri za miamba hii 2 za kupamba gazeti la kesho.
 
Hapa wanamuwinda katibu mkuu mstaafu!! Alileta jeuri wafanye yao...
 
Sasa CCM ndiyo hao hao TAKUKURU,MAHAKAMA,TUME YA UCHAGUZI na kadhalika. Wewe sema wameshawahukumu inatosha mkuu
Yes Kiongozi, ni muda muafaka sasa wa kuinyofoa CCM ndani ya hivi vyombo nyeti vya (dola) kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…