ACT KILIMANJARO
Member
- Apr 15, 2015
- 26
- 25
Taarifa za karibu zinaonesha Chama cha Mapunduzi CCM kinawawinda viongozi wa Vijana kutoka ACT -Wazalendo na NCCR - MAGEUZI, hii ni baada ya kumnasa Pastrobass Katambi wa CHADEMA.
Kwa sasa Kuna watu ndani ya UVICCM kuwashawishi Viongozi hao wa Vijana kutoka Upinzani ili nao wafike bei ya kununuliwa, Muda si mrefu utasikia wanaojindoa kwenye vyama vyao na kujiunga CCM. NCCR tiari kigogo mmoja kaondoka huku ACT akishawishiwa kigogo mwingine ahame Chama hicho.
Mwenyekiti wa Vijana NCCR alikuwa atoke mapema mwaka Jana Ila kwa sababu kadhaa hakuhamia CCM, Ni muda tu wanachomoka, watakao baki upinzani ndiyo cream ya Mageuzi, mpaka 2020 Mengi yanakuja.
CC;
Kalama Kaira, ACT - WAZALENDO
Licapo Bakar, ACT - WAZALENDO
Nicolas Clinton, NCCR - MAGEUZI
Pastrobass Katambi, CHADEMA out.