mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Hainiingii akilini wanaccm bungeni kukataa ukweli usiopingika,huu mchakato hauna mashiko na wanachi wa kawaida tumeshalijua na sasa wajipange kwani hatuko tayari kwa hili na linaongeza nguvu kwa upinzani kwani siku zote wanatumia wanatuelimisha na ndo maana tunawaamini.
Kwa sasa majukwaa rasmi yazidishe kasi ya kutuelimisha ili tupambane na mwovu ccm
Kwa sasa majukwaa rasmi yazidishe kasi ya kutuelimisha ili tupambane na mwovu ccm