mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Hatukujitoa ili tukae kimya. Kuanzia sasa kelele mtindo mmoja!Tuachieni Tume ya Warioba haiwahusu nyie si mmejitoa nendeni mkajipange kushawishi wapiga Kura waikatae kwenye Kura ya Maoni kelele za Nini, au mmerudi kimya kimya maana ndo style yenu maana hata Jakaya mlitangaza kutokumtambua na Bungeni mkakataa kusimama alipoingia lakin Mlipoenda ikulu mlisema Mnataka kumuona Rais Kikwete na alipoingia wote mkasimama kwa heshma na Taadhima. Mkirudi kwenye Mchakato waambieni wanachama wenu maana washajitoa wanasubiri kupiga kura za Maruhani!
usichanganyi wabunge woteni wabunge wa ccm tu, na spika ndio hawakututendea haki. maana walijifanya hawajui linaloongelewa na Lisu kama walivyokuwa wanajifanya hawajui lililokuwa linatakiwa na wananchi wa Mtwara kuhusu gesi,na spika badala ya kuwapa nafasi wabunge kujadili kwa kina hakaleta ndiooo au hapanaa na ingawa tuliosikiliza sauti za kukubaliana na Lisu zilikuwa nyingi spika akasema anafikiri waliompinga Lisu ndio wengiWana jf habarini, kwa suala la ubaguzi wa wazi uliofanywa na Tume ya mabadiliko ya katiba kwenye muundo wa mabaraza ya katiba hasa kwa bara, kwa kuruhusu kikundi cha watu wachache kiitwacho WDC, KUMEFANYA mabaraza ya katiba kwa bara kuwa ya chama kimoja, ilihali ni ya vyama vyote, wabunge wa tanganyika(tanzania bara ) hawajatutendea haki katika hili kwa kutoungana na mh. Lissu ili kuwapa uwanja mpana zaidi wananchi wa bara kwa kutumia direct democracy katika kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya! Je watanganyika tutaendelea kuburuzwa na wazanzibar mpaka lini??. Nalaani sana kwa kitendo cha wabunge wa Tanzania bara kutokuwa wazalendo kwa tanganyika yetu! Je wengine mnasema? Binafsi nampongeza lissu kwa kuipenda zaidi tanganyika yetu! Pia hongereni wananchi wa singida mashariki!