Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango.
Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea wanafalsafa kubainisha umuhimu wa pazia kuliko kuendelea kung'ang'ania milango ambayo wakati mwingine ugoma kufunguka kwa wakati .
Lakini siasa za sasa za upinzani zingependa zaidi uwepo wa mlango kwa ajili ya ulinzi wa wageni wanapokuwa chumbani. Tunaamini dola itasaidia kukaa karibu na pazia pale pale upepo utakapofika?