Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Umemaliza kila kituBiblia ni raha sana
Luka '14:28-29'
28 Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia?
29 Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
wassira anaweza ku step up na kuwa mwenyekiti wa chama!!!na Kwa kua ni pazia itasaidia state kupitisha agenda zao za mabadiliko hasa katiba mpya!Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango.
Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea wanafalsafa kubainisha umuhimu wa pazia kuliko kuendelea kung'ang'ania milango ambayo wakati mwingine ugoma kufunguka kwa wakati .
Lakini siasa za sasa za upinzani zingependa zaidi uwepo wa mlango kwa ajili ya ulinzi wa wageni wanapokuwa chumbani. Tunaamini dola itasaidia kukaa karibu na pazia pale pale upepo utakapofika?