JPM= tone la maji safi ndani ya bahari ya maji taka. Hawezi kufanya chochote kwa mfumo wa kifisadi uliomo ndani ya ccm. Wito: it high time for JPM to join Dr. Slaa
Kwa jinsi hali ya kisiasa na joto la uchaguzi lilivyopanda, binafsi sichelei kuyamka kuwa hakuna kizuizi kitakachomzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu baada ya Oktoba 31. Mtu pekee ndani ya CCM ambaye angethubutu kuleta upinzani na kumpunguzia kura Slaa, ni Mh. JPM
Je, unadhani kuna mwingine yeyote ndani ya CCM zaidi ya JPM? endeleza hapa:
- JPM
- .............
amejiuzia na hakukwapua sio na alipovunja kituo cha mafuta Mwanza si alitumia sheria husika! na can you substantiate kujenga kwake barara kwao kwa kutumia Cost Benefit Analysis?..Magufuli ameshachafuka.
..mmesahau kuwa alihusika na zoezi la kuuza nyumba za serikali? tena ana tuhuma za kuwauzia ndugu zake baadhi ya nyumba za serikali.
..pia ana kashfa ya kupendelea jimbo lake la uchaguzi kwa mradi wa ujenzi wa barabara.
..zaidi alitumia ubabe kuvunja kituo cha mafuta kule Mwanza. shauri hilo lilipelekwa mahakamani na ikaamuliwa kwamba serikali[mimi na wewe] imlipe mwenye kituo cha mafuta shilingi billioni 15 kutokana na uzembe wa John Pombe Magufuli.
NB:
..kabla ya kugombea Uraisi, Magufuli anapaswa kuwaomba radhi wa-Tanzania kwa kushiriki maamuzi ya kuuza nyumba za serikali. pia itakuwa vizuri akijisafisha kwa kurudisha nyumba aliyojiuzia na zile alizowauzia ndugu zake.
amejiuzia na hakukwapua sio na alipovunja kituo cha mafuta Mwanza si alitumia sheria husika! na can you substantiate kujenga kwake barara kwao kwa kutumia Cost Benefit Analysis?
Hizi hoja zote ni nguvu ya soda. CCM itashinda tu uchaguzi na hakuna mwenye akili timamu eti awe tayari kukihama chama chenye maziwa na asali eti ahamie upinzani. muulize vizuri mrema au mpendazoe ili waseme.:amen:
Geza Ulole said:amejiuzia na hakukwapua sio na alipovunja kituo cha mafuta Mwanza si alitumia sheria husika! na can you substantiate kujenga kwake barara kwao kwa kutumia Cost Benefit Analysis?
rmashauri said:Ni kweli mkuu. Na issue ya kujenga barabra kwao sioni tatizo maana yeye ni mbunge anayewajibika kwa watu waliomchagua. Wako wabunge wengi tu ambao walipata kuwa na nyadhifa za uwaziri waliopeleka maendeleo katika majimbo yao mfano Mramba, Msuya etc
NB:
..kabla ya kugombea Uraisi, Magufuli anapaswa kuwaomba radhi wa-Tanzania kwa kushiriki maamuzi ya kuuza nyumba za serikali. pia itakuwa vizuri akijisafisha kwa kurudisha nyumba aliyojiuzia na zile alizowauzia ndugu zake.