CCM Library: Vihoja vya WanaCCM wakiwa kwenye harakati za kuomba kura na kusaka teuzi!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi.

Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi, kupiga magoti n.k

Tujumuike hapa kuweka picha na vibonzo kuelekea mwezi Oktoba




























 
Kuchagua kuwa Mwanasiasa sio rahisi kama raia wengi wanavyochukulia.
 
Wananchi waala hatuna shida, waje tu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…