Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema
Namnukuu
"Lakini mimi ninataka niseme upandacho ndicho uvunacho, Mzee Hashim Issa hajatamka kimakosa, ametamka yale maneno, ni kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA wenyewe, wamekuwa wakipinga muungano, wamekuwa wakieneza udini, wamekuwa ni chama cha ukanda. Kwahiyo Mzee Hashim amesema yale ambayo Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe) aliwahi kuyatamka, Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara) aliwahi kuyatamka, na yeye anatekeleza kauli ya viongozi wake Wakuu"
Pia soma

- Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?
- Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo
- Hashim Issa: Rais Samia na chama chake wameshindwa kuongoza nchi, waondoke Madarakani
- M/Kiti wa BAZECHA Taifa, Hashim Juma Issa aomba radhi watanzania kwa kauli zake za udini