Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema
Namnukuu
"Lakini mimi ninataka niseme upandacho ndicho uvunacho, Mzee Hashim Issa hajatamka kimakosa, ametamka yale maneno, ni kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA wenyewe, wamekuwa wakipinga muungano, wamekuwa wakieneza udini, wamekuwa ni chama cha ukanda. Kwahiyo Mzee Hashim amesema yale ambayo Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe) aliwahi kuyatamka, Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara) aliwahi kuyatamka, na yeye anatekeleza kauli ya viongozi wake Wakuu"
Pia soma
Lakini mimi ninataka niseme upandacho ndicho uvunacho, Mzee Hashim Issa hajatamka kimakosa, ametamka yale maneno, ni kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA wenyewe, wamekuwa wakipinga muungano, wamekuwa wakieneza udini, wamekuwa ni chama cha ukanda. Kwahiyo Mzee Hashim amesema yale ambayo Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe) aliwahi kuyatamka, Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara) aliwahi kuyatamka, na yeye anatekeleza kauli ya viongozi wake Wakuu"-
Mheshimiwa Mwenezi wetu CPA Amos Gabriel Makala kaongea UKWELI Mtupu.Ndio maana tunaendelea kusisitiza kuwa CHADEMA ni lazima iogopwe kama ukoma.na kupingwa na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua.
Si unaona unavyoonyesha ujinga wako wa Udini? Hivi kwanini wewe na chama chako mnapenda sana Udini? Ndio maana watanzania wanaendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM tu.