CCM may lead for decades!


Habari hii inaukweli "CCM WILL lead for decades"!!!!
wapiga kelele wengi sio wapiga kura, wala msisingizie kuwa mnaibiwa kura hii statement itakuwa true ONLY IN ZANZIBAR.
 
Naendelea kutafuta sababu zilizokufanya ufikie hitimisho hili, bahati mbaya hazimo kwenye hii thread!
 
Kweli kabisa kubaki kwa Sultani CCM madarakani ndio hivyo hivyo kuendelea kubaki na umasikini wa kutupwa wa Tanzania ,nasikia ni wapili kwa umasikini kutokea mwisho.kuendelea kwa Sultani CCM ni kushika nafasi ya mwisho au ya kwanza ya umasikini maana yote sawa.Ndio maana yake.
 
Na waendelee tu kutawala hadi hapo wapinzani watakapokuwa serious na ishu za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…