Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Hiyo baa iko mkoa gani tuiulize kuhusu leseni yao kama ile "Cask" ya Mwanza ilivyohenyeshwa?Watapewa uhaini si muda.Huu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika.
Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata.
CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
Wako kwenye majonzi MaketeHuu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika.
Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata.
CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
Jenereta mafuta yako juuu solar hamnaHiyo baa iko mkoa gani tuiulize kuhusu leseni yao kama ile "Cask" ya Mwanza ilivyohenyeshwa?Watapewa uhaini si muda.
Anyway,umeeleza "umeme ukikatika"?Kwa hiyo huwa wanatumia mbadala wa jenereta au solar?
Kwa hiyo huwa wanaimba wenyewe au wanafungulia kwenye simu?Jenereta mafuta yako juuu solar hamna
Sisi wenyewe ndo tunaimba...vocalist kaliKwa hiyo huwa wanaimba wenyewe au wanafungulia kwenye simu?
Safi.Jaribuni sauti ziwe za juu sana hadi paa liwe linatetema.Sisi wenyewe ndo tunaimba...vocalist kali
Na wewe huko umeme ukikata tia vocal ya mbele kwa mbeleSafi.Jaribuni sauti ziwe za juu sana hadi paa liwe linatetema.
Mimi ni bubu huwa siimbi.Na wewe huko umeme ukikata tia vocal ya mbele kwa mbele
Gonga mezaMimi ni bubu huwa siimbi.
Watanishangaa.Watadhani ni mmoja wa wale MPs mazuzu wa CCM ambao walidai kupitisha "mkataba" wa DP World pale bungeni Dodoma bila kuubukua/kuusoma na kuelewa maudhui yake.Gonga meza