johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa.
Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati.
Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au taasisi yoyote itakayokodi uwanja wa Sokoine atapewa masharti maalum mojawapo ni kutoigusa pitch ya kuchezea endapo tukio husika halihusiani na mpira.
Source Star tv habari
My take; Madaktari Mwakyembe na Tulia wameichangamsha Mbeya.