johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu spiksokoine ni mali ya chama?........
well, hata uhuru (shamba la bibi), ikulu, hospital zilizojengwa kwa nguvu za wananchi na mashule yote iwe mali ya chama!!!.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu spika inamhusu!!!!!Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa.
Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati.
Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au taasisi yoyote itakayokodi uwanja wa Sokoine atapewa masharti maalum mojawapo ni kutoigusa pitch ya kuchezea endapo tukio husika halihusiani na mpira.
Source Star tv habari
My take; Madaktari Mwakyembe na Tulia wameichangamsha Mbeya.
Tena wiki 3 ni mbali angepewa siku 7Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa.
Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati.
Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au taasisi yoyote itakayokodi uwanja wa Sokoine atapewa masharti maalum mojawapo ni kutoigusa pitch ya kuchezea endapo tukio husika halihusiani na mpira.
Source Star tv habari
My take; Madaktari Mwakyembe na Tulia wameichangamsha Mbeya.
Umeiona hiyo pitch ilivyogeuzwa zizi la ng'ombe!Tena wiki 3 ni mbali angepewa siku 7
Sent from my SM-P585 using Tapatalk
Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa.
Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati.
Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au taasisi yoyote itakayokodi uwanja wa Sokoine atapewa masharti maalum mojawapo ni kutoigusa pitch ya kuchezea endapo tukio husika halihusiani na mpira.
Source Star tv habari
My take; Madaktari Mwakyembe na Tulia wameichangamsha Mbeya.
Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa.
Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati.
Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au taasisi yoyote itakayokodi uwanja wa Sokoine atapewa masharti maalum mojawapo ni kutoigusa pitch ya kuchezea endapo tukio husika halihusiani na mpira.
Source Star tv habari
My take; Madaktari Mwakyembe na Tulia wameichangamsha Mbeya.
Bwashee aliyekutwa na ngozi ndio kala nyama!Uwanja ulikuwa mbovu hata kabla ya tamasha. Tamasha la Fiesta na pambano la mwakinyo yamefanyika pale uhuru bila pitch kuharibika. Matamasha kibao huwa yanafanyika pale ccm kirumba na wahudhuriaji wanakuwa kwenye pitch na pitch kutoharibika.
Udongo uliotumika hapo sokoine kupanda nyasi sio mzuri unaleta tope sana.Rekebisheni pitch kwa kuweka nyasi bandia au mpande nyasi kwenye udongo mzuri.
Bwashee aliyekutwa na ngozi ndio kala nyama!
Ni sawa lakini lisirudiwe kosa la kupanda nyasi kwenye udongo wa majarubaniBwashee aliyekutwa na ngozi ndio kala nyama!
Umeeleweka bwashee!Ni sawa lakini lisirudiwe kosa la kupanda nyasi kwenye udongo wa majarubani
Sugu siyo tishio tena!
Wewe unadhani Sokoine ni mali ya Sugu?!sokoine ni mali ya chama?........
well, hata uhuru (shamba la bibi), ikulu, hospital zilizojengwa kwa nguvu za wananchi na mashule yote iwe mali ya chama!!!.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani Sokoine ni mali ya Sugu?!
Hahahaaa...... Hahahaaa.........!