wajameni tuelewe CCM wako kwenye power na kuiba kura na ujanja ujanja wao ni rahisi kuliko upinzani, upinzani hawawezi kufanya lolote kwani dola linashikiliwa na CCM. Plan ya sasa CCM ni kumtoa JK kwenye aibu ya ndani na nje ya nchi kama hatashinda kwa kishindo alichosema wakati upinzani sasa umeanza kulala na kuridhika na majimbo 28+.