CCM mjitafakari. Mnafanya ukatili na unyanyasaji hadi nchi za Magharibi wana intervene?

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Level ya ukatili wa ccm umesikika hadi ngambo. Level ya maovu mnayofanya taratibu inavuka redline.

Mko bize kufunga, kubambikia kesi, kuiba uchaguzi, kuteka ,kupoteza, kuua mpaka kuwashitua inchi za ulaya?

Mmefikia hatua ya kutoamini hata mhimili wa kutafsiri sheria (mahakama) mnajichukuria sheria mkononi kwa kuumiza wakosoaji.

Nimemaliza
 
Tunatawaliwa na Wahuni sasa wanasema "

Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru"​

huu ni uhuni mkubwa wa kupitiliza​

 
Tamaa ya madaraka na pesa ikisha kuingia kichwani, akili huwa inabidi itoke ili kuvipa nafasi, kwa sababu akili haitaki kabisa kubanana na hivi vitu viwili!
 
Ni kweli,

Maana hakimu hakuzuia watu kuja Mahakamani kusikiza shauri,

Order ilitoka nje ya Mahakama.

Hii ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…