OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Haya ni maoni binafsi.
Endapo CCM itashinda na ikaendelea na moto ule ule, basi ihakikishe CHADEMA imefutika kabisa. Mwaka 2025 hakutakuwa na kusikiliza sera, bali kutakuwa na siasa za ushabiki, yaani kama vile unashangilia mechi ya simba na yanga.
Itafikia kipindi ukionekana umevaa sare ya CCM au CHADEMA watu wa upande fulani watakushambulia kama mwizi, hii itatokana na hasira, visasi na machungu ya kushindwa chaguzi nyingi.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ilinde Tanzania.